1/22
For the first half, translate the times in Swahili. For the second half, answer the questions in Swahili.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
---|
No study sessions yet.
3:15 pm
Saa tisa na robo mchana.
9:55 am
Saa nne kasoro dakika tano asubuhi OR saa tatu na dakika hamsini na tano asubuhi.
12:21 am
Saa sita na dakika ishirini na moja usiku.
11:45 pm
Saa sita kasarobo usiku OR saa tano na dakika arobaini na tano usiku.
7: 45 am
Saa mbili kasarobo asubuhi OR saa moja na dakika arobaini na tano asubuhi.
2:11 pm
Saa nane na dakika kumi na moja mchana.
6:30 pm
Saa kumi na mbili na nusu jioni.
10:49 am
Saa nne na dakika arobaini na tisa asubuhi.
5:05 pm
Saa kumi na moja na dakika tano jioni.
3:12 pm
Saa tisa na dakika kumi na mbili mchana.
1:01 am
Saa saba na dakika moja usiku.
4:40 am
Saa kumi na dakika arobaini usiku.
9:58 pm
Saa tatu na dakika hamsini na nane usiku.
8:35 am
Saa mbili na dakika thelathini na tano asubuhi.
Exactly 12 pm
Saa sita kamili mchana.
She will read until 4:00 pm
Atasoma hadi saa kumi mchana OR atasoma mpaka saa kumi mchana.
She waited since the time of noon prayers.
Alisubiri tangu saa sita mchana kwa ajili ya sala.
It is near 1:00 pm.
Ni karibu saa saba mchana.
It’s after 7:15 am.
Ni baada ya saa moja na robo asubuhi.
It’s about 10:00 pm.
Ni kama saa nne usiku.
What time did the children leave?
Watoto waliondoka saa moja na robo usiku.
What time did Mohammad dig the trench?
Mohammad alichimba mkondo tangu saa kamili mchana.
Juliet had read her diary for a period of seven hours.
Juliet alisoma shajara kwa muda wa saa saba.