1/52
Looks like no tags are added yet.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
---|
No study sessions yet.
Jina lako ni nani?
What is your name?
Unaitwa nani?
What are you called?
Jina langu ni…
My name is…
Ninaitwa…
I am called…
Unatoka wapi?
Where are you from?
Ninatoka jimbo la…
I am from the state of…
Ninatoka mji wa…
I am from the city of…
Ninatoka nchi ya…
I am from the country of…
Unakaa wapi sasa?
Where do you live?
Ninakaa bweni la…
The dorm I live in is…
Ninakaa nyumba ya…
The house I live in is…
Ninakaa fleti ya…
The flat/apartment I live in is…
Ninakaa barabara ya…
The street I live on is…
Unasoma wapi?
Where do you study?
Ninasoma katika…
I study at…
Chuo kikuu
University
Shule ya upili/sekondari
high school
Shule ya msingi
Elementary school
Shule ya chekechea/watoto wadogo
preschool
Chuo cha walimu
Teacher’s college
Chuo cha ufundi
Vocational school
Chuo cha polisi
Police school
Chuo cha wazima moto
Firefighter school
Chuo cha wguzi
Nursing school
Unasoma nini?
What do you study?
Masomo ya Kiafrika na Wamerikani Weusi
I study African and African American Studies
Masomo ya Kimataifa
I study International Relations
Masomo ya Uhandisi
I study engineering
Masomo ya Jinsia na Wanawake
I study Women and Gender Studies
Masomo ya Kuigiza
I study Theather
Masomo ya Falsafa
I study Philosophy
Masomo ya madawa
I study Medicine
Masomo ya Biashara
I study Business
Masomo ya Afya ya jamii
I study Public Health
Unapenda kula nini?
What do you like to eat?
Ninapenda kula…
I like to eat…
Brokoli
Broccoli
Saladi
Salad
Aiskrimo
Ice cream
Hambaga
Hamburger
Pitsa
Pizza
Unapenda kunywa nini?
What do you like to drink?
Ninapenda kunywa…
I like to drink…
Chai
Tea
Kahawa
Coffee
Maziwa
Milk
Supu
Soup
Uji
Porridge
Soda
Soda
Maji ya matunda
Fruit juice
Maji ya machungwa
Orange juice
Maji ya maembe
Mange juice
Maji ya tikiti maji
Watermelon juice