1/18
Looks like no tags are added yet.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced | Call with Kai |
|---|
No analytics yet
Send a link to your students to track their progress
wanasiasa Wawili katika Afrika Mashariki
two politicians in East Africa
Jina lake ni Pierre Nkurunziza
His name is Pierre Nkurunziza
Alizaliwa tarehe kumi na nane, mewzi wa kumi na mbili, mwaka wa elfu moja na mia tisa na sitini na nne
He was born on 12/18/1964
Alisoma elimu ya mwili na michezo
He studied physical education and sports
Jina la mke wake ni Denise Buchumi
His wife’s name is Denise Buchumi
wana watoto sita
they have six children
Anatoka nchi ya Burundi
He is from the country of Burundi
Alikuwa rais wa Tisa wa Burundi
He was Burundi’s ninth president
Alikuwa Kiongozi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe
He was a leader in the Civil War
Nilimchagua kwa sababu alikuwa rais kwa miaka kumi na tano.
I chose him because he was president for fifthteen years
Jina lake ni Paul Kagame
His name is Paul Kagame
Alizaliwa tarehe ishirini na tatu, mwezi wa kumi, mwaka wa elfu moja na mia tisa na hamsini na saba
He was born on 10/23/1957
anasoma biashara katika chuo Kikuu cha London
he studied business at the University of London
Jina la mke wake ni Jeannette Kagame
His wife’s name is Jeannette Kagame
Wana watoto nne
They have four children
Anatoka nchi ya Rwanda
He is from the country Rwanda
Ni rais wa Rwanda
He is the president of Rwanda
Alimaliza mauaji ya kimbari elfu moja mia tisa tisini na nne.
He ended the 1994 genocide.
Nilimchagua kwa sababu yeye ni fikra
I chose him because he is a genius