1/23
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
---|
No study sessions yet.
Yesterday, we waited until after 11:15 a.m.
Jana tulingoja mpaka baada ya saa tano na robo asubuhi.
On Friday, Aziza will return from London
Ijumaa Aziza atarudi London.
That Monday, I went to the post office.
Jumanatu ile nilikwenda posta.
Tomorrow, I will buy your airline ticket.
Kesho, nitanunua tiketi yako ya ndege.
This Tuesday, I will be busy.
Jumanne hii, nitakuwa na shughuli.
These three Wednesdays will be quiet.
Jumatano tatu hizi zitakuwa tulivu.
Four days from now, you will finish reading that book.
Mtondogoo, utamaliza kusoma kiyo kitabu.
On Saturday, we will return home.
Jumamosi, tutarudi nyumbani.
On Thursday, we will go to the University of Toronto.
Alhamisi, tutakwenda Chuo Kikuu cha Toronto.
This Sunday, I will go to work.
Jumapili hii, nitaenda kazini.
January 1st, 2006.
Tarehe moja Januari mwaka eflu mbili na sita.
February 14th, 2020.
Tarehe kumi na nne Februari mwaka eflu mbili na ishirini.
March 15th.
Tarehe kumi na tano Marchi.
Friday, April 18th, 2025.
Tarehe kumi na nane Aprili mwaka eflu mbili na ishirini na tano.
May 4th.
Tarehe nne Mei.
I went swimming in June.
Nilienda kuogelea mwezi wa Juni.
I went to Wonderland in July.
Nilienda Wonderland mwezi wa Julai.
I practiced playing the piano all through August.
Nilijizoeza kinanda mzima wa Agosti.
I will go to school on September the 4th.
Nitaenda shule tarehe 4 Septemba.
Halloween is in October.
Halloween iko mwezi wa Oktoba.
This November’s Black Friday will be the worst.
Ijumaa nyeusi ya Novemba hii itakuwa mbaya zaidi.
Christmas is in December.
Krismasi iko mwezi wa Desemba.
When will you complete your studies at UofT?
Nitakamilisha masomo yangu shule tarehe thelathini juni mwaka wa elfu mbili, ishirini na nane.
UofT was established on March 15, 1827.
UofT ilianzishwa tarehe kumi na tano mwezi wa Machi mwaka wa elfu moja, mia nane, ishirini na saba.