1/42
Looks like no tags are added yet.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
---|
No study sessions yet.
Msamiati
Vocabulary
Sarufi
Grammar
Darasa
Class
Darasani
In the Classroom
Somo
Lesson
Masomo
Lessons/Studies
Sura
Chapter(s)
Mazungumzo
Conversation/Dialouge
Zoezi
Exercise
Mazoezi
Exercises
Zoezi la Nyumbani
Homework
Swali
Question
Maswali
Questions
Uliza
Ask
Uliza swali
Ask a question
Jibu
Answer
Jibu swali
Answer a question
Nina swali
I have a question
Je, una swali?
Do you have a question?
Ndiyo, nina swali
Yes, i have a question
La, sina swali
No, I don’t have a question
Kuna swali?
Is there any question?
Ndiyo, kuna swali
Yes, there is a question
La, hakuna swali
No, there is no question
Sifahamu/sielewi
I don’t understand
Ninafahamu/ninaelewa
I understand
Sijui
I don’t know
Nitasema kwa Kiingereza
I will say in English
Sijui kusema kwa Kiswahili
I don’t know how to say in Swahili
Ninajua
I know
Samahani
Excuse me
Jaribu tena
Try again
Unasemaje kwa Kiswahili?
How do you say in Swahili?
Tafsiri
Translate/Translation
Tafsiri ya Kiswahili
Swahili translation
Tafadhali
Please
Tafadhali sema tena/Rudia tafadhali
Please repeat that
Tafadhali sema polepole
Please speak slowly
Tafadhali rudia polepole
Please repeat slowly
Tafadhali sema kwa Kiswahili
Please speak in Swahili
Mwalimu
Teacher
Mwanafunzi
Student
Wanafunzi
Students