1/10
Looks like no tags are added yet.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced | Call with Kai | Chat |
|---|
No analytics yet
Send a link to your students to track their progress
Hujambo
Sijambo
Unatoka wapi?
Ninatoka Lawrenceville, Georgia. Na wewe je?
Ninatoka Loganville, Georgia.
Unakaa wapi sasa?
Ninakaa Athens sasa. Na wewe je?
Ninakaa Athens sasa. Unasoma nini?
Ninasoma elimu ya usimamizi wa fedha. Na wewe je?
Ninasoma saikolojia.
Unasoma wapi?
Ninasoma katika Chuo kikuu cha Georgia. Na wewe je?
Unasoma katika Chuo kikuu cha Georgia.
Una kaka au dada?
Nina dada mmoja. Na wewe je?
Nina kaka mmoja. Unapenda kufanya nini?
Ninapenda kusikaliza muziki. Na wewe je?
Ninapenda kusafiri. Habari za masomo?
Salama tu. Na wewe je?
Nzuri tu.
Kwa heri!
Baadaye!