1/17
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
---|
No study sessions yet.
36
Thelathini na sita
28
Ishirini na nane
760
mia saba na sitini
1230
elfu moja, mia mbili na thelathini
97
Tisini na saba
13
kumi na tatu
45
Arobaini na tano
84
Themanini na nne
3567
Elfu tatu, mia tano, sitini na saba
2159
Elfu mbili, mia moja, hamsini na tisa
4008
Elfu nne na nane
53
hamsini na tatu
9023
Elfu tisa, ishirini na tatu
76
sabini na sita
100
Mia moja
13, 594
elfu kumi na tatu, mia tano, tisini na nne
90, 568
elfu tisini, mia tano, sitini na nane