1/21
Swahili 040 - Final Exam
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced |
|---|
No study sessions yet.
ngeli 1-2
m-wa
mtu huyu mzuri
watu hawa wazuri
ngeli 3-4
m-mi
mlima huu mzuri
milima hii mizuri
ngeli 5-6
ji-ma
duka hili zuri
maduka haya mazuri
ngeli 7-8
ki-vi
chakula hiki kizuri
vyakula hivi vizuri
ngeli 9-10
n-n
kompyuta hii nzuri
kompyuta hizi nzur
ngeli 11
u
ukuta huu mzuri
ngeli 14
u
umoja huu mzuri
ngeli 15
ku
kusoma huku kuzuri
ngeli 16
pa
mahali hapa pazuri
ngeli 17
ku
mahali huku kuzuri
ngeli 18
mu
mahali humu mzuri
ngeli 1-2 types
humans/animals, animate nouncs
ngeli 3-4 types
plants
ngeli 5-6 types
various; inanimate objects, abstract ideas
ngeli 7-8 types
tools, human-made inanimate objects, languages
ngeli 9-10 types
borrowed words
ngeli 11 types
long and thin things
ngeli 14 types
abstract names
ngeli 15 types
gerunds/infinitives
ngeli 16 types
specific locative
ngeli 17 types
general locative
ngeli 18 types
inside locative