1/66
Looks like no tags are added yet.
Hungry
njaa
I am hungry
You are hungry
He/She is hungry
Mimi nina njaa
Wewe una njaa
Yeye ana njaa
What do you eat when you’re hungry?
Wakati una njaa unakula nini?
Bread
Mkate
Potatoes
viazi
(Cooked) Rice
Wali
(Uncooked) Rice
mchele
Spaghetti noodles
tambi
Meat
nyama
Beef
nyama ya ngombe
Goat-meat
nyama ya mbuzi
Chicken
nyama ya kuku
Pork
nyama ya nguruwe
Sheep meat
nyama ya kondoo
Fish
samaki
Cheese
jibini
Eggs
mayai
Beans
maharagwe
Green Peaas
njegere
Vegetables
mboga
Salad
saladi
Cabbage
kabeji
Spinach
mchicha
Carot
karoti
Tomato
nyanya
Onion
kitunguu
Hot pepper
pilipili-kali
Bell pepper
pilipili-hoho
Fruit
matunda
Apples
(ma)tufaa
Orange(s)
(ma)chungwa
Banana
ndizi
Lemon
(ma)limau
Mango
(ma)embe
Avocado
(ma)parachichi
Pineapple
nanasi
Passion Fruit
(ma)pesheni
Papaya
(ma)papai
Why is he/she drinking?
Kwa nini yeye anakunywa?
Because he/she is thirsty
Kwa sababu yeye ana kiu
Thirsty
(nina/una/ana) kiu
Drinks
vinywaji
Tea
chai
Coffee
Kahawa
Juice
juisi
Beer
bia
Wine
mvinyo
Alcohol
pombe
Water
maji
Milk
maziwa
Cake
keki
Waiter
Mhudumu
Buyer/Customer
Mnunuzi
Ordering Food Dialogue
A: Je ninaweza kukusaidia?
B: Ndiyo tafadhali. Je, mna vyakula gani?
A: Sisi tuna___,____,___. Je ungetaka chakula gani?
B: Mimi ningetaka___,____,___
A: Je ungetaka kinywaji cho chote?
B: Ndiyo tafadhali, mna vinywaji gani?
A: Sisi tuna____,____,___
B: Ningetaka kunywa____
A: Chakula chako hiki hapa
B: Asante. Ni chakula kizuri sana. Je, ni pesa ngapi?
A: Ni shilingi______
A: Kwaheri
B: Kwaheri na karibu tena