1/14
Looks like no tags are added yet.
11:45 AM
saa tano na dakika 45 asubuhi
1:30 AM
Saa Saba na nusu usiku
5:15 PM
Saa kumi na moja na robo jioni
12:00 am
Saa Sita Usiku
4:08 PM
Saa kumi na dakika 8 jioni
7:58 AM
Saa mbili kasoro dakika 2 asubuhi
6:20 PM
Saa kumi na mbili na dakika 20 jioni
3:38 AM
Saa tisa na dakika 38 usiku
12:00 PM
Saa Sita mchana
7:15 pm
aa moja na robo usiku
9:45 PM
Saa tatu na dakika 45 usiku
10:20 PM
Saa nne na dakika 20 usiku
4:00 am
Saa Kumi alfajiri
8:25 PM
Saa mbili na dakika 25 usiku
1:45 PM
Saa nane kasoro robo mchana