1/71
Looks like no tags are added yet.
Samahani?
excuse me?
Sijajuelewa
I don’t understand you
Unaweza kuzungumza polepole kidogo?
Can you speak a little slowly?
Sasa nimeelewa
now I understand.
Unamaanisha nini?
What do you mean?
Neno hili lina maana gani?
What does this word mean? (Lit. what meaning does this word have?)
Kwa Kiswahili, unasemaje…?
How do you say… in Swahili?
Ni vigimu keleza kwa mimi, lakini….
It is difficult for me to explain, but…
saa ngapi?
what time is it?
saa tatu mbili
9 am
kwenda
to go
kuja
to come
kurudi
to return
kutoka
from/to be from/to leave
kufika
to arrive
kukaa
sit/stay/live
kuishi
to live
kuamka
to wake up
kulala
to sleep
kuongea
to speak/talk
kusema
to say
kuuliza
to ask
kujibu
to answer
kusikiliza
to listen
kusikia
to hear
kusahau
to forget ku
kumbuka
to rememeber
kuhitaji
to need
kuamini
to believe
kujaribu
to try
kutumaini
to hope
kupata
to get/find/receiveku
kutoa
give/removek
kuchukua
to give
kununua
to buy
kuuza
to sell
kunywa
to drink
kuandika
to write
kufundisha
to teach
hongera!
congratulations
Uwe na siku njema
have a good day
kweli?
really?
sawa kabisa
perfectly finehak
hakuna shida
no problem
labda
maybe
inategemea
it depends
hivyo ndivyo
that’s how it is
tutaona
we’ll see
lini?
when?
vipi?
how?
Jitambulishe
introduce yourself
Isimu
Linguistics
sosholojia
Sociology
ili naweze kufanya utafiti huko
so that I can do research there
kwa maoni yangu
in my opinion
kwa kweli…
really…
mara nyingi
often
kwa kawaida
usually
hasa
especially
hata
even
kwa mfano
for example
kwa hivyo
therefore
hata hivyo
however
zaidi ya hayo
besides that/furthermore
badala yake
instead
kwa maoni yangu, X, lakini inategemea
in my opinion X, but it depends…
Kwa upande mmoja…, lakini kwa upande mwingine
on the one hand…., but on the other hand
Nina umri wa miaka ishirini na moja.
I’m 21 years
Ni vizuri kukutana na wewe
It is good to meet you
Ninavutiwa na
I’m interested in
uhusiano
relationship
Pia ningependa kujua zaidi kukuhusu.
I’d also be interested in learning more about you