1/3
Looks like no tags are added yet.
Je, unapenda siku ya shukurani?
ndiyo
Wewe unapenda kula nini siku ya shukurani?
ninapenda kula kuku na wali
Je, unajua kupika bata mzinga au nyama ya mbuzi?
Ndiyo
Mimi hunywa chai sana siku ya shukurani, na wewe je?
mimi hunywa soda