1/14
Looks like no tags are added yet.
Name | Mastery | Learn | Test | Matching | Spaced | Call with Kai | Chat |
|---|
No analytics yet
Send a link to your students to track their progress
Hujambo!
Sijambo
Habari gani?
Nzuri, na wewe je?
Nzuri! Habari ya asubuhi?
Salama! Niliamka saa moja asubuhi, na nilikula kiamshakinywa (kiam-shaa-quinoa) saa mbili na nusu asubuhi, na nilikula chakula cha mchana saa tano na robo.
Poa! Niliamka saa kumi na mbili asubuhi, na nilikula kiamshakinywa saa moja na nusu asubuhi, na nilikula chakula cha mchana saa saba. Habari ya familia?
Njema. Nina baba jina lake ni Joseph, na mama jina lake ni Ruth, na dada jina lake ni Nissie.
Na wewe je?
Nikona mama jina lake ni Josephine, kaka mdogo jina lake ni Ricki, na baba jina lake ni George.
Sawa sawa! Wazazi wanafanya kazi gani?
Mama anafanya kazi kwa duka. Baba anafanya kazi kwa hoteli. Na wewe je?
Mama yangu ni nesi na baba anafanya kazi kwa duka. Baba na mama wanatoka Kenya. Wazazi wanatoka wapi?
Mimi pia. Wazazi wanatoka kenya. Unatoka wapi?
Mimi ninatoka Fairfax na ninakaa Charlottesville. Na wewe je?
Mimi ninatoka kenya na ninakaa Charlottesville.
Ulizaliwa mwaka gani?
Nilizaliwa tarehe Januari ishirini na sita, mwaka wa elfu mbili na nane. Na wewe je?
Nilizaliwa julai tarehe kumi na nane mwaka wa elfu mbili na nane
Uko na masomo gani?
Mimi niko na masomo ya fasihi ya afrika, dini, kiswabili, saikolojia, na historia.
Njema! Mimi niko na masomo ya kemia, kiswahili, kiingereza, na hesabu. Unapenda kufanya nini?
Mimi ninapenda kusoma, kuongea, na kutembea.
Nzuri sana! Mimi ninapenda kusikiliza muziki na kusoma kitabu. Familia yako wanapenda nini?
Familia yangu wanapenda mengi. Baba na mama yangu wanapenda chai asubhui na jioni na usiku. Dada yangu anapenda mchoro na densi.
Mama yangu anapenda kulala na kupika. Baba yangu anapenda T.V.. Kaka yangu anapenda kucheza na kulala. Nikona rafiki mbili. Rafiki yangu wanapenda kucheka, na kuongea pia. Rafiki yako wanapenda chakula gani?
Rafiki yangu wanapenda sana chakula chapati na mandaazi. Warafiki yangu wanapenda kula, kuogelea, kahawa, na kupika. Unapenda muziki gani?
Ninapenda R&B na Pop. Na wewe je?
Ninapenda indie, rock, na pop.
Sawa sawa. Nina kwenda kwa masomo ya historia saa tisa.
Kwaheri! Tutaonana kesho!
What is the order of this conversation? GRFBCFG
Greetings -> routine -> family -> birth -> clases -> friends -> goodbye!